Twins Auction Mart kwenye Udhamini wa Safari ya Mandela Veterans Sports Club kwenye safari yao ya siku tatu(3) mkoani Mtwara na Lindi.
Mheshimiwa Mkurugenzi wa Twins Auction Mart akipokea tuzo ya udhamini wa kilele cha wiki ya sheria
Mkurugenzi wa Twins Auction Mart na timu yake wakiwa nje ya ofisi ya Kanda Dodoma
Mkurugenzi wa Twins Auction Mart na timu yake wakiwa nje ya ofisi ya Kanda Ziwa
Mkurugenzi wa Twins Auction Mart na timu yake wakiwa maofisa wa Mahakama Kanda ya kusini
Mkurugenzi wa Twins Auction Mart na timu yake wakiwa maofisa mbalimbali